Friday, January 16, 2015

ZARI NA DIAMOND, BIYONCE NA JAY Z, ONA WANAVYOJARIBU KUFANANA

zari
Wapenzi Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za mastaa duniani kwa picha na  pozi tofauti. Kupitia instagram yake Zari amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli za Diamond kwenye simu yake muda wote wanapokuwa pamoja.
zari 1 zari 2

No comments:

Post a Comment