Tuesday, January 6, 2015

BABA AMFANYA MWANAYE KIPOFU KWA KUMTOBOA MACHO KWA KITU CHENYE NCHA KALIAgripina Godfrey aliyetobolewa macho yote mawili na baba yake mzazi
 
 
Godfrey Joseph Kajuna (45) mkazi Muleba Mkoa wa Kagera ampiga kwa fimbo nzito na kumtoboa macho bintiye wa miaka 12 Agripina Godfrey kisha naye kujinyonga hadi kufa
Chanzo ni kwamba Baba alitoka na kuwambia wanae kuwa Mama yao akirudi wasimfungulie mlango, hivyo mama aliporudi watoto kwa kumuogopa Baba yao wakakataa kumfungulia Mlango. Basi Mama akaondoka kujihifadhi kwingine

No comments:

Post a Comment