
Msichana huyo Jolly Tumuhirwe,
alipandishwa Mahakamani siku ya Jumatatu wiki hii ambapo alikiri
kutenda kosa hilo na kuomba msamaha, amerudishwa tena gerezani mpaka
December 16, siku ya Jumanne ambapo atapandishwa tena Mahakamani kwa
ajili kesi yake kuendelea kusikilizwa..
Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Buganda Road Jumanne ya wiki ijayo.

No comments:
Post a Comment