Tuesday, October 21, 2014

PUMZIKA MAHALA PEMA MSANII YP

Taarifa niliyoipata hivi punde inahusiana na msiba wa aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family.
Babu Tale
Kupitia Tweet ya Anna Peter aliyoiweka dakika chache zilizopita, amesema amezungumza na meneja wa kundi hilo Said Fella ambaye amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
Fredz
Babu Tale  II

No comments:

Post a Comment