Friday, June 13, 2014

TAZAMA PICHA ZA MBUNGE WA CHADEMA JOSHUA NASSARI NA MKEWE WAKIFURAHIA FUNGATE LAO NDANI YA MBUGA

Wakati bunge likiendelea na kujadili bajeti mjini Dodoma, Mbunge wa Arumeru Mashariki, 

Joshua Nassari yeye  ameonekana yupo busy anakula raha na mke wake ambaye alifunga nae ndoa weekend iliyopita jijini Arusha.

Hizo ni picha ambazo Mbunge Nassari akila raha na mkewe.

No comments:

Post a Comment