Thursday, June 12, 2014

LIVE JAMAA KAKAMATWA AKIMLAWITI MTOTO WA MIAKA 12 MUONE HAPA

Kijana mmoja muda huu ambaye alitambulika kwa jina moja la Ridhiwani  amekutwa Bila aibu Akimlawiti mtoto wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro.
 Tukio zaidi tazama hapa chini 
Ridhiwani  aliyembaka Mtoto wa Miaka 12 muda mchache uliopita
Huyu ndiye dogo ambaye amelawitiwa ana umri wa Miaka 12.

 Ridhiwani  akiwa Chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa anamlawiti kijana wa Miaka 12

 Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyebaka
 Wananchi wenye Hasira kali wakiwa  wanataka kuanza kumtandika kijana huyo...

Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF. 

Picha na Arusha yetu Blog

No comments:

Post a Comment