Kuna story moja imeandikwa kuhusu lady jaydee kumpigia
magoti Ruge na gazeti la pilipili. Vibe Tanzania hatutaki kuzungumzia
kuhusu kilichoandikwa kwenye gazeti la pilipili lakini tulifanikiwa
kuongea na lady jay dee kuhusu habari hizo naye alisema habari hizo sio
za kweli na inamuuma sana jinsi watu wanavyopenda kuandika uongo juu
yake.Lakini amesenma ipo siku ukweli utajulikana tu…
No comments:
Post a Comment