Wednesday, April 30, 2014

Wafanyakazi New Habari (2006) wapinga ubaguzi kwa kula ndizi hii ni nzuri


Wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari (2006), jana walijumuika na baadhi ya mastaa duniani kula ndizi kama ishara ya kupinga vitendo vya kibaguzi kama alivyofanyiwa mchezaji Daniel Alves wa Barcelona

No comments:

Post a Comment