Friday, May 2, 2014

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA GERE YA WEUSI WAONE MASTAA KIBAO WALIO HUDHURIA

Kundi la Weusi linaloundwa na rappers kutoka Arusha, Joh Makini, Nick wa Pili, G-Nako na Bonta jana usiku (April 30) walizindua video ya wimbo wao unaofanya vizuri hivi sasa ‘Gere’ kwenye hotel ya Meditteraneo iliyopo jijini Dar es Salaam

Uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu,jamaa na marafiki na wasanii wenzao na wadau wa muziki nchini
 

No comments:

Post a Comment