Wednesday, March 5, 2014

MASKINI RAY C AMUONEA HURUMA MPENZI WAKE WA ZAMANI LORD EYES .. KUTOKANA NA TUHUMA ZA WIZI Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Ray C amefunguka kama ifuatavyo:

No comments:

Post a Comment