Wednesday, March 5, 2014

Hatimaye Msanii Ally Kiba aanika Hekalu(mjengo) Wake wa Nguvu huu hapa 
Akimalizia kuweka sama maeneo ya Chumbani. 
Ukiwa ndani ya Hekalu Jumba la Ngvu la Msanii ally KibaHili ni eneo la Nje la Hekalu la Msanii Ally Kiba
Msanii Wa Bongo Fleva hii leo Kupitia Ukurasa wake wa FB ameamua kuweka hizi Picha zenye mwonekano wa Hekalu(mjengo wa Nguvu) anaoumalizia kuufanyia-renovation

No comments:

Post a Comment