Tuesday, March 4, 2014

KIONGOZI WA WEUSI AFUTA AIBU KWA KUMWENGUA LORD EYEZ KATIKA KUNDI BAADA YA KASHFA YA WIZI

Kiongozi wa kundi la weusi NIKKI WA PILI ametangaza rasmi kumwondoa msanii LORD EYEZ katika kampuni ya weusi kufuatiwa  tuhuma za uharibifuwa gari na uporaji  wa laptop.C

No comments:

Post a Comment