Friday, March 7, 2014

HUYU NDIE KIJANA ANAEFANANA NA RAISI BARACK OBAMA.. LIVE YANI NI NOMA SANA



Ilham Anas mwenye umri wa miaka 40 raia wa Indonesian, ambaye pia ni mpigapicha kwakweli haipingiki, anafanan na Rais wa Marekani, Barack Obama kama anavyoonekana








No comments:

Post a Comment