Friday, March 7, 2014

HIZI NDIZO PICHA ZILIZOTIKISA JANA KWENYE BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Halima Mdee, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kawe (CHADEMA), akiwa haamini kinachoendelea kwenye ukumbi wa bunge wakati wajumbe wa bunge hilo walipocharuka jana na hivyo kumlazimisha mwenyekiti wa muda wa bunge hilo Pandu Ameir Kificho, kuliahirisha kwa muda ili kuepusha uchafuzi zaidi wa "Hali ya Hewa"
Hebu muone uyu naye.
Halima Mdee akibadilisha style za "mishangao" wakati "Sinema" ya bure ikiendelea

No comments:

Post a Comment