Friday, March 21, 2014

HAKUNA KAMA JOSE CHAMELEONE NA HAITATOKEA EAST AFRICA, JIONEE MWENYEWE HAPA USISIMULIWE

www.bongoswaggz.com

Ni msaani mwenye uwezo wa kutunga na kuimba,ambaye amepelekea kubadilisha ramani ya muziki East Afrika nakusababisha muziki wa afrika mashariki kusonga mbele.

Kutokana na uwezo wake wa utunzi ndiyo umempelekea kujikusanyia utajiri wa mashabiki barani Afrika,kwa sasa Dr. Jose Chameleone ndiye msanii tajiri namba moja wa Afrika mashariki na wa kumi Afrika nzima.

Haya ndio matunda ya Music so kama ulikuwa na mawazo ya kuwa mziki haulipi basi jipange vyema unaweza kufikia level za huyu jamaa anayeiwakilisha Uganda na East Africa kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment