Wednesday, January 29, 2014

ZITTO ATOA MANENO MAZITO JUU YA JENEZA ALILOCHONGEWA SOMA NA ANGALIA PICHA YENYEWE HAPA


 
Baada ya umati wa wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kujitokeza wakiwa na mbango na jeneza linalomdhihaki Zitto Kabwe kumpokea Katibu Mkuu wa chama hicho "Dk Wilbroad Slaa" na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) katika viwanja vya Ruanda, Nzovwe jijini Mbeya, Zitto aandika maneno haya kupitia ukurasa wake wa facebook.

No comments:

Post a Comment