Thursday, January 9, 2014

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI? MKE WAKO KAJIFUNGUA MTOTO MZUNGU WAKATI NYIE WOTE WEUSI

 

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI?

Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo.

Kama wewe ni Mume au Mke ungefanya nini?

No comments:

Post a Comment