Sunday, January 26, 2014

DIAMOND ALIVYO ONEKANA BONGE YA MJANJA HUKO KENYA


 Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali

Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na

 Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na
 

Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine  vya habari

waliokuwa wakinisubiri nje...

kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa

 walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae

kimziki,collabos,na maisha yangu..


 Director wa kipindi,Kiss Tv akiniwekea Mike


 Mahojiano na Kiss Tv yakaanza

Ads not by this site


Ads not by this site


Ads not by this site

 Waandishi kutoka vyombo vingine vya habari wakinisubiri

Ads not by this site

 Mahojiano yakaanza na wwaandishi wamajarida  na magazetiNo comments:

Post a Comment