Monday, January 27, 2014

HIVI NDIVYO..:MASTAA WA ISIDINGO WALIVYOMUAGA MAREHEMU "LETTIE MATABANE" JUMAMOSI


Bra G...akiwa mwenye sura ya huzuni wakati wa ibada ya mazishi ya Lettie iliyofanyika Jumamosi, Jan 25 J'Burg Afrika Kusini
'Parsons' wa Isidingo akifuatlia kwa makini ibada ya mazishi ya Lettie. kwenye Isidingo alikuwa kama dada yake

..baadhi ya waombolezaji waliofurika kanisani wakati wa ibada.

No comments:

Post a Comment