Monday, January 27, 2014

HABARI PICHA...MMH..MAZITO HAYA...KIFAHAMU CHUMBA MAALUM CHA MAASI "NGONO" CHA LATE KANALI GADDAFI...


Kanali Gaddafi alikuwa na vyumba maalum kwa wafungwa wa ngono kwenye majumba yake.Mamia ya vijana wasichana kwa wavulana walikuwa watumwa wa ngono kwake.Dikteta huyo alitembelea shule na kuchagua vigoli ‘bikira’ wa kufanya nao ngono.Aliuawa mwezi Oktoba 2011 baada ya miaka 42 ya udikteta.

No comments:

Post a Comment