hata
hivyo majirani hawakuweza kutambua swala hilo kwamba yule mama alikuwa
akilala na maiti ndani ya nyumba hiyo hadi ilipokuja kugundulika kwa
sababu mwenye nyumba alikuwa akidai kodi yake ya mwaka , baada ya
kuingia ndani ya nyumba ndipo alipo gundua hayo... sasa hivi ndivyo
ilivyo kuwa

Mwanamke huyu kweli jasili sana alikuwa analala pembeni ya maiti ya mume wake kama inavyo onekana

akiwa amefariki mwanaume ambaye alikuwa na miaka 79

Maiti hii ikiwa inaendelea kuoza wakati mke wake anaendelea kulala nayo... hii ni sinto fahamu

Tazama
maiti hii ilivyo kuwa imeoza, mbaya zaidi kulikuwa na baadhi ya
majimaji kutoka katika mwili huu ambao ulisababisha harufu mbaya sana
lakini bado mama huyu alikuwa akilala na maiti hii bila kujali, pia
kulikuwa na wadudu hatari ambao wanapatikana katika mwili ulio oza kama
funza lakini mama huyu alikuwa hata hajali...
Picha na Daily mail
No comments:
Post a Comment