Thursday, November 21, 2013

MIKE TYSON AMRUDISHIA EVANDER SIKIO LAKE NYUMBANI KWAKE


 "Chukua ndugu yangu nimekurejeshea Sikio lako"
Hii ni Moja ya kihoja ambacho kiliwaacha midomo wazi watu wengi, ni baada ya Mike Tyson Kurudisha sikio alilomnyofoa mwenzake Evander Holyfield... Sasa hivi ndivyo ilivyo kuwa..
Hapa Mchezaji wa ngumi Mkongwe akiwa anabisha hodi na kuingia nyumbani kwa Evander Holyfield kumkabidhi sikio lake huku akiwa na sura ya wasiwasi akiogopa anaweza pigwa sumbwi
 "Chukua ndugu yangu nimekurejeshea Sikio lako"
Evander Holyfield akimpokea Mike Tyson huku akiwa na maneno mengi anayo yawaza asijue Tyson alimletea nini...
Evander Holyfield anamkaribisha hapa Mike Tyson anaomba msamaha kwa mpinzani wake ,, anamwambia hivi" Ebwana nisamehe sana mtu wangu hili sikio lako mimi nimelihifadhi kwa miaka yote hii 16, sasa nimekuletea"
"Oh my Goodness yaani kweli hii safi sana nililimisi sana sikio langu kwa Muda wa miaka yote 16, Asante sana" alisema Evander Holyfield

Anatabasamu
Evander Holyfield sasa wamerejea kuwa Marafiki wa mara nyengine tena
Hivi ndivyo Evander Holyfield alivyo katwa sikio.
 Picha na Daily mail... maelezo na This day Magazine

No comments:

Post a Comment