Friday, November 22, 2013

ZITTO KABWE NA DK. KITILA WAVULIWA VYEO VYAO VYOTE NDANI YA CHADEMA


Kikao cha Kamati Kuu ndiyo kimeisha  na taarifa zilizopo ni kwamba kambi ya PM7 imevunjwa rasmi baada ya viongozi wake kuvuliwa vyeo vyote walivyo navyo ndani ya chama


Waliovuliwa vyeo ni Zitto Kabwe, ambaye amevuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa chama pamoja na nafasi ya Naibu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Dr. Kitila Mkumbo yeye amevuliwa nafasi ya mjumbe wa kamati kuu.
Kamati Kuu imewaandikia barua Zitto na Kitila, wajieleze ndani ya siku 14 kwanini wasifukuzwe uanachama.
CHANZO: JAMII FORUM  a

No comments:

Post a Comment