Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia 
wala Kunidhuru chochote... 
Sanasana utanizidishia 
Umaarufu na kunipa Show zaidi... Kama nimeacha 
kurecord nyimbo
 Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine 
 Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi...
.ila Kuvujisha 
Unajisumbua bure!
Hisia zangu za
 pelekea kuandika haya nikiwa na uzuni 
ndani yake kwa kuwa muda 
nilioutmia na akili nliotumia
 dhairi ni Mungu Pekee anajua ndio Maana 
aina budi 
namwachia Mungu pia....Imani iliyo ndani yangu nikiamini 
kuwa 
kutoa ya Moyoni uufanya Moyo kujengeka
 Upya,Mwenyezi Mungu Atanijenga 
Upya na kuwaandalia kitu kipya hiv
 karibun.Hii ni changamoto kwangu na 
Kuweza 
kujua sheria na katiba za Muziki wangu na
 kusimamia Haki 
zangu...... Nawapenda Sana Mashabiki Zangu..... #WCB #CocaBoy for Life

No comments:
Post a Comment