Kumekuwa na Uvumi na Habari nyingi sana 
Mitandaoni na
 Kwenye Media tofauti... kwamba mimi na Mwanadada
 Wema Sepetu tuna 
mahusiano ya Kimapenzi, kitu
 ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za 
uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu 
yeye kucomment kwenye Account yangu ya
 Instagram?..
 Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
 kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze  ama Kushiriki  kwa chochote? 
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana 
Mnapenda kuona watu 
wanauadui... nimuda
 wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la 
Tanzania
 na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA. 
No comments:
Post a Comment