Thursday, June 6, 2013

PICHA ZA M 2 THE P AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI WA KUMUAGA ALBERT NGWEA MOROGORO MCHANA HUU..!!


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdpBq1YCVuvI93_PvafJQFJyPzxPTgZ2HjhhQwCzdi6XUFcKF0OpVFnaXeYRHNXU95TWvmPf8Yr2hvYTUdEJ7GgkNRAepBofhIxfxhxII2CrNkmaLjuMt0Pj3TH2SLJ5DPOhZtJ4Bho2ME/s1600/M2THEP2.jpg

M2  THE P amefanikiwa  kutoa  salamu zake  za  mwisho  kwa  rafiki yake  kipenzi  ambaye  alikuwa  naye  huko  Afrika  kusini  tena  walikuwa  ndani  ya  chumba  kimoja  kabla ya  mauti  kumkuta Ngwea....!!
Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa  amefichwa  na  kudanganywa  kuwa  Ngwea  alikuwa  ametangulia  Tanzania. Baadaye  Maggie  alilazimika  kumweleza  ukweli......



 


No comments:

Post a Comment