Thursday, June 6, 2013

TAZAMA VIDEO YA TUKIO ZIMA LA HUYU MTANZANIA MWENZETU ANAYETARAJIWA KUNYONGWA IJUMAA ALIVYOKAMATWA NA MAAFISA WA EGYPT AKIWA NA UNGA



Jana tuliripoti  juu  ya  kuwepo  kwa  mtanzania  mwenzetu  anayetarajiwa  kunyongwa  ijumaa  hii..... 
Tumefanikiwa  kuinasa  video  wakati  akikamatwa  na  madawa  ya  kulevya... 
Hizi ndo picha  za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya nchini Misri.

Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa
Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae

                                      Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni
mwanae
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake
 
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wakeHapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo

                                           VIDEO HII HAPA

No comments:

Post a Comment