Thursday, June 6, 2013

MAGARI YA TFF ZAKAMATWA NA DALALI WA MAHAKAMA KWA KUDAIWA SH. 51 MILIONI

Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya Udalali ya Flamingo, Nyalila Noel akipandika hati ya mahakama katika basi la Shirikisho la soka Tanzania (TFF), ambayo inaruhusu kukamatwa kwa mali za shirikisho hilo.
Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya Udalali ya Flamingo, Nyalila Noel akibandika hati ya mahakama katika basi la Shirikisho la soka Tanzania (TFF), ambayo inaruhusu kukamatwa kwa mali za shirikisho hilo.
Dereva la basi dogo la TFF (kulia), akisoma hati ya mahakama iliyotolewa kwa ajili ya kukamatwa kwa mali za TFF kutokana na deni la sh. milioni 51 linazodaiwa na Safina Holding.
Hati ya mahakama.

No comments:

Post a Comment