Wednesday, April 24, 2013

KUTOKA BUNGENI JANA,CHUMBA NAMBA 231


#PSPF #SSRA #HazinaTZ Leo saa tano kamili mbele ya Kamati ya #PAC kuhusu hatma ya mfuko wa pensheni wa PSPF kuhusiana na nakisi kubwa ya tshs 6.5trn na Madeni ya serikali kutoka mfuko huu. Mjadala wa suala hili, Kwa sababu ya unyeti wake, utakuwa wazi Kwa umma na waandishi wa Habari. Mahojiano haya yatafanyikia chumba 231 Jengo la utawala Bungeni Dodoma

No comments:

Post a Comment