Wednesday, March 13, 2013

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WILAYANI ILEMELA MKOANI MWANZA

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akitoa Maelekezo kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwenye kiwanda cha Mwatex kinachotiririsha Maji kwenye  Makaazi ya  Wananchi Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza Kulia Mkurugenzi Rasilimali Watu Bw Evodius Gordian.
 Naibu Wazir Ofisi ya Makamu waRais Charles Kitwanga akitoa Maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Bi Amina Juma wakati alipotembelea kiwanda cha Mwatex Wilayani Ilemela ambacho  kinatiririsha Maji kwenye Makazi ya Wananchi katikati Mkurugenzi wa kiwanda Bw Amin Ladhan wapili Mkurugenzi Rasilimali Watu Bw Evodius Gordian. (Picha na Ali Meja)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akipata maelezo Juu ya Uzalishaji wa Chuma kwa Meneja wa Kiwanda cha Chuma cha Nyakato Steel Bw Ramarao Uppala wakatiNaibu Wazir alipofanya Ziara ya Kuangalia Uchafuzi wa Mazingira Mkoani Mwanza

No comments:

Post a Comment