Wednesday, March 13, 2013

WADAU WA HABARI WAKUTANA KUJADILI HALI YA KUZOROTA KWA MAZINGIRA YA USALAMA KWA WAANDISHI WA HABARI LEO

 Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi akifafanua jambo wakati akitoa tamko la wadau wa habari waliokutana leo jijini Dar es Salaam kujadili ya hali ya kuzorota kwa mazingira ya usalama kwa  waandishi wa habari na wanaharakati wengine. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi, Katibu wa Jukwaa la Wahariri, Neveli Meena na Mhariri Mtendaji wa Free Media, Ansbert Ngurumo wakitafakari jambo katika mkutano wa wadau wa habari kujadili ya hali ya kuzorota kwa mazingira ya usalama kwa  waandishi wa habari na wanaharakati wengine.

No comments:

Post a Comment