Thursday, March 7, 2013

WAKAZI WA UYOLE MBEYA WASEMA SASA KUUWA WEZI BASI DAWA NI KUWASURUBISHA MPAKA POLISI WAFIKE

MWIZI WA BETRI YA GARI ANAEJULIKANA KWA JINA MOJA TU SEFA AKISURUBIWA KWA STAILI YA AINA YAKE KWA KUFUNGWA KWENYE NGAZI PAMOJA NA BETRI ALIYOIBA
MWIZI HUYO AKIENDELEA KUTESEKA KATIKA NGAZI HIYO
POLISI WAMEFIKA KUMWOKOA MWIZI HUYO KATIKA MATESO HAYO
BADO WANANCHI WANAHASIRA NA MWIZI WAO WAKIDAI WAACHIWE WAMFUNZE ADABU MAANA AMEWASUMBUA SANA ENEO HILO LA UYOLE
POLISI WAMEZIDIWA WAMEPOKONYWA MTUHUMIWA WAO KIPIGO KINAENDELEA

HII NDIYO NGAZI ILIYOTUMIKA KUMWADHIBU MWIZI HUYO

picha na Kamanga Mbeya

No comments:

Post a Comment