Monday, March 4, 2013

UZINDUZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA TAWI LA MBEYA WAFANA


ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akikata utepe kuzindua chuo kikuu cha Tumaini Makumira tawi la Mbeya

Viongozi mbali mbali wa mkoa wa Mbeya walihudhuria uzinduzi huo
 U
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile akisoma somo la kwanza katika ibada ya uzinduzi wa tawi hilo 
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa Akihubiri katika ibada ya uzinduzi wa tawi la chuo kikuu cha Tumaini Makumira Uyole mbeya

Kwaya mbali mbali zilitumbuiza katika uzinduzi huo
 Mara  baada ya ibada  Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile akielezea historia fupi ya chuo hicho kwa wageni waalikwa
Mkuu wa chuo cha Tumaini Mkumira tawi la Mbeya Dk Gwamaka Mwankenja akisoma risala mbele ya mgeni rasmi mkuuu wa mkoa Mbeya
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro 
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia katika uzinduzi wa chuo hicho cha Tumaini makumira
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akipanda mti kama ishara ya utunzaji wa mazingira
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akimwagilia alioupanda kwa ajili ya utunzaji wa mazingira chuoni hapo
Hili ni jengo la utawala chuoni hapo

No comments:

Post a Comment