
Wapiga kura tayari kwa foleni katika mtaa wa Kiberaa
Hii leo wakenya wanapiga kura
katika uchaguzi wa kihistoria chini ya katiba mpya. Foleni tayari
zimeanza kushuhudiwa katika vituo.
Kinyang'anyiro ni kikali kati ya Muungano wa Cord na Jubilee wa Raila Odinga na Uhuru Kenyatta.
No comments:
Post a Comment