Tuesday, March 26, 2013

RAIS WA ZANZIBAR NA RAIS WA CHINA WAZUNGUMZA.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akimtambulisha Waziri wa Fedha,Uchumi
na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee,kwa  Rais wa Jamhuri ya Watu
wa China Xi Jinping,katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Serena
Jijini Dar es Salaam,walipokutana kwa mazungumzo ya Kiutendaji.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China
Xi Jinping,katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam,walipokutana kwa mazungumzo ya Kiutendaji.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar alipowasili katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam,alipokuwa na Mkutano na Rais wa China Xi Jinping,leo asubuhi.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China
Xi Jinping,katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es
Salaam,walipokutana leo asubuhi ikiwa ni hatua ua ushirikiano katika
nchi mbili hizi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi Mdogo wa China anyeishi
Zanzibar Bibi Chen Yiman,baada ya mazungumzo na Rais wa China Xi
Jinping,leo asubuhi katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment