Tuesday, March 26, 2013

KAJALA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 7 JELA AU KULIPA FAINI YA MILIONI 13, ALIPIWA FAINI NA KUACHIWA HURU


 Msanii wa filamu, Kajala Masanja akiwapungia mkono ndugu, jamaa na watu waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, ambapo kesi yake ilitolewa hukumu ya kwenda jela miaka 7 au kulipa faini ya sh. milioni 13. Kajala ambaye alilipiwa faini hiyo, alikuwa anakabiliwa na makosa ya kula njama, kuamisha umiliki wa nyumba iliyokuwa imezuiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali isiuzwe. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Kajala akiwa na ndugu zake.
 Kajala akitoka mahabusu kabla ya kusomewa hukumu yake leo.
  Msanii wa Filamu Mahsin Awadh akiwa na msanii mwenzake Elizaberth Michael 'Lulu'
 Dk. Cheni akiwa na Lulu
Kajala akiondoka katika eneo la Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Wema Sepetu akiwa na Kajala
 Kajala akisindikizwa na wasanii wenzake wakati akitoka mahabusu baada ya kulipiwa faini ya milioni 13 na kuachiwa huru.

No comments:

Post a Comment