Waziri wa Nishati na
Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (wanne kutoka kushoto) akiwa pamoja na
Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Nishati na Madini mara baada ya kufungua
mkutano wa baraza hilo mwezi Machi, 14, 2013. Kulia kwa Mhe. Waziri ni
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bw. Mrimia D.
Mchomvu. Ufunguzi huo umefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Bluer Pearl jijini Dar es Salaam ambapo waziri Muhongo amesema kuwa kikao hicho kimelenga kujadili Agenda ya Bajeti ya Mwaka 2012 pamoja na Mwaka 2013-2014. (PICHA NA WIZARA YA NISHATI NA MADINI) |
No comments:
Post a Comment