Mkurugenzi
Mkuu Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ramadhani Dau
akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya Shirika hilo
iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akizungumza wakati wakati wa
uzinduzi wa bodi mpya Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii (NSSF)
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF),Abubakar Rajabu akitoa neno la shukrani baada ya Waziri wa Kazi
na Ajira, Gaudencia Kabaka (kushoto) alipozindua bodi hiyo. Kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF),Ramadhani Dau.
Baadhi ya wajumbe wa bodi.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii ya Jamii
(NSSF), Ramadhani Dau mara baada kuzindua bodi mpya ya Shirika hilo.
Waziri
wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kulia) akibadilishana mawazo na
Mwenyekiti wa bodi ya NSSF, Abubakar Rajabu na Mkurugenzi wa Uendeshaji
wa NSSF, Crescentius Magori.
No comments:
Post a Comment