Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),Rehani Athumani akizungumza katika semina ya
vikundi vya akina mama wa Majohe (UVIMA) vilivyopo chini ya Taasisi ya
Wanawake na Maendeleo (WAMA) inayosimamiwa na Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete hiyo iliyofanyika Majehe leo. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Philomena Marijani Meneja Uragibishi kutoka WAMA akizungumza katika semina hiyo
Michael Muhando Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu (NHIF) akizungumza katika semina hiyo leo
Afisa wa Masoko na Elimu kwa Umma NHIF Grace Michael akitoa maelezo kabla ya kuanza kwa semina hiyo leo
Wanachama wa UVIMA
Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati wa semina hiyo
Wachekeshaji Abdallah Salum Kulia ni Shoti na Rashid Omary Hasara wakiburudisha washiriki wa semina hiyo kabla ya kuanza rasmi.
No comments:
Post a Comment