Tuesday, March 5, 2013

NEY WA MITEGO KUMSHIRIKISHA DIAMOND KWENYE NGOMA YAKE MPYA

Hapa ni Diamond kutoka kushoto wakati katikati ni Mtangazaji wa Tv na Redio ya East Africa Sam Misago na Mwishokulia ni Ney wa Mitego aka True Boy walipokuwa Studio wakipika ngoma mpya ya Ney wa Mitego aliyomshirikisha Mwanamuziki Diamond ambayo itakujia hivi karibuni
Mtoto wa Tandale, Mtoto wa kishua & Mtoto wa Manzese...hahahahaha!
Picha Zote na This is Diamond

No comments:

Post a Comment