Tuesday, March 5, 2013

KASEBA AMTANDIKA MANENO OSWARD, Mchumiatumbo amdunda Marwa kwa KO.

Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Bondia Maneno Osward, wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa taifa ambapo Kaseba alishinda kwa point.
Bondia Maneno Osward (kushoto) akikwepa konde la Japhert Kaseba wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa taifa uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Kaseba alishinda kwa point mpambano huo.
Bondia Aliphonce Mchumiatumbo (kushoto) akimshindilia ngumi bondia Josephe Marwa, kwenye mpambano wa uzito wa juu uliofanyika jumamosi Mchumiatumbo alishinda kwa K,O raundi ya sita.
Kaseba baada ya kuibuka kidedea!

No comments:

Post a Comment