Thursday, November 22, 2012

HATUJITAMBUI LAKINI UKWELI NDIO HUU

Jamii haijui au haijagundua kuwa nguvu ya viongozi wao wameishikilia wao(jamii) na viongozi pia wanajua lakini wanatumia nafasi ya jamii kutokugundua na ndio maana wanautumia uongozi wao kuikandamiza jamii iliyomshikilia, TUTAFAKARI

No comments:

Post a Comment