Thursday, November 22, 2012

TIGO YAWAZAWADIA WASHINDI 42 WA DROO YA SMART CARD

Meneja wa Kutengeneza Ofa za Intaneti za Kampuni ya Tigo, David Sekwao (kushoto) akibofya kwenye kompyuta kupata mmoja wa washindi 42 wa droo ya pili ya Smartcard, Dar es Salaam. Anayeshuhudia kulia ni Mkaguzi Mwandamizi wa Bodi ya Taifa ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha nchini, Abdallah Hemed. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Meneja wa intaneti wa Tigo Bw.Titus Kafuma (kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo katika Hotel ya JB BELIMONT jijini Dar es salaam wakati wakuchezesha Droo ya pili ya SMARTCARD  ambapo wateja 42 wameibuka wandi wa Droo hiyo huku washindi wawili wakipata kifurushi cha vocha ya Shilingi 50,000 manunuzi ya bidhaa katika maduka ambayo tigo itawaelekeza kufanya manunuzi hayo huku wateja wengine wakijishindia tiketi za kwenda kuangalia mpira katika kumbi za mpira Tarehe 9 mwezi wa 12 kutizama mechi za machesta city na machesta untd na wengine wakishinda tiketi za kwenda kula Dina katika hotel zenye hadhi ya juu na washindi wengine wamejishindia tiketi za kwenda kuangalia sinema katika kumbi ambazo kampuni ya simu tigo itakuwa imewalipia (kulia)Afisa msaidizi uhusinoTigo Bi.Tuli Mwaikenda

No comments:

Post a Comment