Saturday, September 15, 2012

ZANTEL YAIPIGA TAFU AFRICA LYON


Mkurugenzi wa Michezo Bw, Leornard Tadeo akiishukuru zantel kwa kuidhamini Afrika Lyon na kusema kuwa  anaimani kuwa udhamini huu utaleta maendeleo katika mchezo wa soka  nchini kwa kuwapa nafasi ya kufanya majaribio katika viwanja na walimu bora zaidi.
Kampuni ya simu za mkononi Zantel imejitolea kudhamini Timu ya Afrika Lyon kwa mkataba wa miaka mitatu  ambapo Zantel imesema kuwa Lengo lao ni kukuza vipaji kwa vijana wa Kitanzania.
Leornard Tadeo Kushoto akiteta jambo na Afisa  wa Zantel Bw, Sajid Khan mara baada ya mkutano uliowahusisha waandishi wa habari.