WANAWAKE WAMLAKI ROSE MIGIRO LEO KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpongeza Dk. Asha Rose Migiro, wakati
wa sherehe ya kumpongeza Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa
aliyemaliza muda wake, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake
Tanzanaia (UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, leo.
Rose Migiro akitoa neno la shukurani kwa wanawake waliohudhuria ktk hafla hiyo