Saturday, September 15, 2012

MAHAFALI YA DARASA LA SABA


Diwani wakata ya Kimara akimpongeza mwanafunzi wa Darasa la saba katika shule ya Msingi Milenia ya Tatu kwenye mahafali yaliyofanyika leo katika shule hiyo

Hawa ndo wahitimu waliomaliza darasa la saba

Naibu Msatahiki Meye wa Kinondoni Bw, Richard Kengule wakwanza kulia ambaye ndiye aliyekuwa  mgeni rasmi akishika cheti kwa ajili ya kumpa mhitimu.

Mgeni Rasmi pamoja na viongozi wakiwa kwenye pcha ya pamoja na Wahitimu wa Darasa la Kwanza.