Nimechek na rapper Jay Moe
ambae siku sio nyingi alikua amefanya ya Uganda nite na kina Bobi wine
Amsterdam, holland na baada ya hapo show zake zinazofata ni Ujerumani na
Ufaransa october 2012.
Moe ambae kabla ya hapa alipiga
show Italy sikukuu ya EidJay kwa sasa yuko Sweden ambapo atafanya show
september 28 2012 kabla ya kuelekea Germany na France. kwa hisani ya Millad Ayo .com
|