Najua watu wengi sana mnapenda Couple hii na furaha yenu ni kutuona
wawili sisi tukiwa kwenye Mahusiano ya kimapenzi.... na mmekua mkifurahi
sana na story za hapa na pale mkiskia kua wawili sisi tumekua pamoja na
hata pindi mkituona tuko pamoja pia Mmekua mkishangilia na kufurahi...
bt ukweli ni kwamba Mimi na Wema hivi sasa si Wapenzi tumekua ni kama
Dada na Kaka ama marafki tu wa kawaida ambao tunashirikiana katika kazi
mbalimbali za sanaa na za n'nje ya sanaa, katika harakati za kujenga
Taifa Letu... Pia ni vizuri ningependa mfahamu kwamba Wema ana Mpenzi
wake ambae namfaham na tunaheshimiana kama mtu na Shemeji
yake........So das' de Truth abt me and Her!... and Get ready! kwa kazi
tofautitofauti ambazo soon zitadondoka....
|