Wednesday, July 4, 2012

MRITHI WA KOSTADINIC PAPIC ATUA JANGWANI

Kocha mpya wa Yanga, Mbelgiji Thom Saintfiet akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere,Jijini Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya wanachama na  wapenzi wa klabu hiyo



Baadhi ya Mashabiki wa Yanga waliokuwemo katika viwanja vya Jangwani wakifurahia baada ya Jembe jipya la Yanga kuingia leo