Maasinda ilifanikiwa kudaka Moja ya Gazeti lililokuwa linahabari juu ya askari mmoja aliyetuhumiwa kuwa ni mmoja kati ya waliomtesa Dk Ulimboka . Kwasasa hali ya Dk ulimboka ni ya Utata kwani kuna baadhi ya Ujumbe mfupi wa kwenye simu usio rasmi unaosema kuwa Dk Ulimboka tayari amekufa. MAASINDA inajitahidi kupata uhakika wa habari hizo. |